Sunday, February 17, 2008

Mrisho Mpoto

Wazalendo wenye uchungu na nchi yao, wakimsikiliza mzalendo mwenzao, akiwachocochea katika fikra Tamasha la Sauti za Busara Zanzibar.

1 comment:

Hisia za Mwinyikayoka said...

Ni busara pekee zinazoweza kuliokoa taifa hili dhidi ya hila za watembea uchi wa kimagharibi. Nategemea kuona hilo katika siku za baadaye kama nitajaaliwa kuwa hai. Hakika sanaa ni njia nzuri ya kuadabisha na hakika wewe ni msanii mahiri-nakufahamu vyema!