Sunday, September 9, 2007

Titi la mama

Maneno hatuhesabu, kwa karne na miaka
Ni matendo ya wajibu, sekunde ama dakika
Yatakayoleta thawabu, kwa watu kuyakumbuka
Ndiyo maisha thawabu, na yanayo hitajika

3 comments:

Thom said...

Good work Kaka!!

Thom said...

Sasa Mpoto, mbona huleti kazi zako redio MLIMANI?
Karibu sana sana mjomba

Thom said...

yees Mrisho!!Mambo? kijana wangu unafanya kazi nzuri sana, most of the tym huwea nafuatilia kazi zako na kupata hisia za kipekee sana. i real appreciate it Bro. ila unanihuzunisha sana kwa kutotaka kuleta kazi zako katika Redio yetu, nilikuomba ufanye hivyo tangu tulipokutana Arusha2006 ulipokuwa na wizara ya Fedha kwenye 88. Plz usichague Media, peleka kazi zako kwa woote ili usikike na kupata stahili yako. Say hello to all hasa Elidady.
Thom N
Mhariri
Redio Mlimani Fm
Univ Of Dsm